Ahsante sana The Finest yaani nahisi kama nina zigo hivi nakosa amani na sijui nini kinanisumbua akili yangu,ngoja nijaribu kuipotezea nione itakuwajeNi hali ambayo huwa inatokea saa zingine unaweza kuwa pamoja na kujitahidi kufanya kila kitu still unakuwa unajisikia hauna raha, unakuwa unajisikia kama kuna kitu vile kinakuumiza pia kwangu huwa inanitokea mara kwa mara cha msingi vumilia ni hali ya muda tu then itaisha dont stress yourself too much about give it a time try to calm as much as you can and enjoy the rest of your time don't let it ruin your other plans
Jaribu kupotezea ikiwa ni pamoja na kutoifikiria hiyo hali sana kama hii sikukuu ume-plan something just do it unaweza hata ukamchukua mtoto ukaenda nae sehemu kutembea nae just kuondoa hiyo mindset uniyokuzonga kichwani mwakoAhsante sana The Finest yaani nahisi kama nina zigo hivi nakosa amani na sijui nini kinanisumbua akili yangu,ngoja nijaribu kuipotezea nione itakuwaje
Yaani Easter unakula peke yako hata kunialika hamnakama alivyosema TF hapo juu
potezea...yaani dont think too much about it
Usikae na kuwaza kwamba kuna kitu kinakusumbua
ikatae hiyo hali na jitahidi kuenjoy kila unachofanya
Happy Easter!
Ulimaanisha mimi au Gaga??? Lolwakati mwingine dia Gaga inakua kuna kosa ambalo umelifanya bila ww kupenda ila kulikuwa kuna ulazima wa kufanya hivyo, na wakati unalifanya ulijua kabisa kuwa nafanya kitu ambacho si sahihi!!! Nafsi inakuhukumu!!!
Usifadhaike sana moyoni mwako!! Roho mtakatifu ni mwaminifu hembu kwa dk chache fumba macho yako useme naye!! then utakuwa safi kabisa.
Love u mamaa!!!
Ahsante ila nafikiri nimesema kila kitu huwa sibakizi hata jambo la ndani aje, kwa kweli hata kama natamani kitu nahisi sikijui ni nini ndio maana najiuliza nataka niniNi hali ya kawaida kwa binadamu. Lakini jambo la msingi ni wewe mwenyewe, kujiuliza unataka nini, utakipata wapi na kama unaweza kukipata. Sometimes, TOO MUCH EXPECTATIONS LEAD TO DEPRESSION. Inawezekana unafikiria mambo makubwa sana ambayo, katika reality, hayawezekani! Gaga, kama ninayosema ni kweli, basi come back to reality. Otherwise, kuna jambo la ndani sana ambalo hujalisema....
Duh baba Enock huko mbali sana niko between 30 - 35 ahsante kwa ushauriKama age yako inagonga 45 (kwa akina Mama), basi ni lazima upitie hali hiyo!Ni kipindi ambacho unatakiwa kujihusisha na mambo ya kijamii zaidi kuliko ya ki-famili - Tembelea watoto yatima, jiunge na vikundi mbali mbali (SACCOS, VICOBA, TUSHIKAMANE, e.t.c) ili upate muda wa kukaa na watu wa aina tofauti tofauti...
Anywayz pole sana
Ulimaanisha mimi au Gaga??? Lol
Khaaa yaani unanikana na kunisaliti hadharani kama Yuda alivyofanya kwa Yesu:hail::hail::A S-cry::A S-cry:mbona we mchokozi hivyo?????? Invisibleeeeeeeeeeee njoo umuone Finest kwani yy kawa Gaga?
Hivi pia inawezakuwa ni hivi ee ila mbona siwazii makosa na wala sijui najutia nini sasa, poa mamii nashukuruwakati mwingine dia Gaga inakua kuna kosa ambalo umelifanya bila ww kupenda ila kulikuwa kuna ulazima wa kufanya hivyo, na wakati unalifanya ulijua kabisa kuwa nafanya kitu ambacho si sahihi!!! Nafsi inakuhukumu!!!
Usifadhaike sana moyoni mwako!! Roho mtakatifu ni mwaminifu hembu kwa dk chache fumba macho yako useme naye!! then utakuwa safi kabisa.
Love u mamaa!!!
Yaani kununa ndio nafanya sasa hivi kitu kidogo nashout, inabidi nikae nitulie nijichunguzeInawezekana kuna kitu kinakusumbua japo mwenyewe hukitambui (not aware)..inawezekana ni kitu umefanya au kitu hujafanya..unataka au unatamani!Jaribu kujichunguza na kujiangalia pamoja na walio karibu yako.Kama upungufu unaohisi hauhusiani na chakula hata ule pesa hutohisi kuridhika!Jitahidi ujue jinsi ya kujiridhisha usije ukaanza kununa nuna hovyo!
YouTube - Usher - DJ Got Us Fallin' In Love ft. PitbullYaani kununa ndio nafanya sasa hivi kitu kidogo nashout, inabidi nikae nitulie nijichunguze
wakati mwingine dia Gaga inakua kuna kosa ambalo umelifanya bila ww kupenda ila kulikuwa kuna ulazima wa kufanya hivyo, na wakati unalifanya ulijua kabisa kuwa nafanya kitu ambacho si sahihi!!! Nafsi inakuhukumu!!!
Usifadhaike sana moyoni mwako!! Roho mtakatifu ni mwaminifu hembu kwa dk chache fumba macho yako useme naye!! then utakuwa safi kabisa.
Love u mamaa!!!