...Go Lizzy, Go Lizzy!:whoo: ...safi sana, ndio 'kujivua gamba' huko.
Dah!! Mimi huwa nafikiri napaswa ku-gain calories kuliko kuziunguza lol...exactly! that's what I mean. khe khe!
Unaunguza Calories kuliko kwenye Treadmill, Rower au Stepper!
...'with a smile!'
Gaga upo? ushapata tiba sasa unatukimbia ee?
Kupumua haraka hata nani hii si inafaa?...Umeona ee, Tasia 1 kamwaga darasa la nguvu hapa.
mimi nimeipenda zaidi hiyo
"2. fanya aina yoyote ya mazoezi ambayo unaipenda au just yoyote itakayokufanya kupumua kwa haraka."- TASIA 1
Kwakweli zoezi nilipendalo huniondolea stress kwa haraka sana!
Klorokwini, don't Quote me on this pliz!
Kweli kabisa inabidi nijivue gamba eee, ila sasa inabidi mijiulize tatizo au nijaribu tu ku guessAhhhhh!Na mimi nimetua zigo kama Gaga!
Gaga mpendwa siku zote kuongelea kinachokutatiza hua kunaleta ahueni!Pamoja na usiri hilo hata mimi nalifahamu.Kama huwezi kuongea na watu wako wa karibu kwa hofu ya kutokukuelewa leta hapa JF pia tafuta rafiki mmoja wa mbali unaeweza kushea nae mambo yako bila wasiwasi!
Wow where were you all this time, thanx for sharing with me,I think i should face my demons and make things rightDear Gaga,
Pole sana dada!
Tatizo lako linaweza kuwa mambo mengi mfano:
1. Could be depression. Watu wengine hutumia Prozac or valium to counteract depression but daktari atashauri vema kama ndio remedy yako.
2. Could be a result of early menopause, this one you will just have to ride the tide, it will pass
3. The Boss could be right that you are being haunted by a past memory, for this you will need to face the demons. Kama mtu alikulosea, akakuumiza na umeyaweka moyoni siku zote hizi, dawa yake ni kum-face huyo mtu, she or he must admit makosa yake na akuombe msamaha. Hii husaidia moving forward pia.
4. Not Enough could also be right, you might not be happy with your love life, work, family but you feel obligated to stick to it hence sacrificing your happiness
Ahsante sana kusali tena hapa ndio nyumbani kwake, ahsante kwa msaada huu wa kiroho nitakazia kwa kweliPole Gaga, ebu mpe Mungu kuwa kiongozi wa maisha yako, hayo mambo ya supermarket, kufanya mapenzi, kula, etc usifanye kamata biblia soma na uelewe. Kuna channel nyingi sasa hivi zinazungumzia mambo ya familia, kiroho angalia upate ufahamu katika yote. Kosa lako moja tu sijaona ukisema labda nikiwa kwenye hiyo hali huwa napiga goti namwambia Mungu apunguze makali.
Ebu mkaribishe tu leo hii na hiyo hali yako itaisha. Ni rahisi na hakuna shortcut otherwise utakipata cha moto.
Usijali mpenzi na imani leo hii umeamka na nafuu kama sio kuisha kabisa, fuatilia ushauri uliopewa nimeuona mwingi una busara sana, usisahau kusali pia kwa Mungu hakushindikani kituAhsante Dinnah umepotea sana wewe uko wapi siku hizi?au ndio majukumu ya maisha
Nipo ni mambo tu ya maisha huwa naingia mara moja moja sababu access niliyokuwa nayo mwanzo na internet imepungua kwa hiyo nikipata nafasi kama hii ndio naitumia kisawasawaAhsante Dinnah umepotea sana wewe uko wapi siku hizi?au ndio majukumu ya maisha
Vipi leo unajisikiaje mpendwaPoa ila usipotee kihivyo bibie tunahitaji michango yako
Habari wana JF wenzangu, kuna kitu kinanitatiza sijui kinasababishwa na nini, kila nachofanya nahisi kuna kitu kina miss, najaribu kula chakula nikipendacho bado nahisi sijaridhika, najaribu kuwa karibu na family steel im feeling lonely, najaribu kufanya shoping nisikie raha wapi! making love every now and then bado tu siridhiki na roho yangu, nisaidieni ni nini inasababisha hali hii? au kazi nyingi? au ndio depression magonjwa ya kizungu hatujayazoea mwenzangu, naombeni ushauri. najua humu huwa hakiaribiki kitu