Hii ndio gari mpya aliyonunua Masanja Mkandamizaji

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Masanja Mkandamizaji ambae anatajwa kuwa miongoni mwa wachekeshaji wachache wa Tanzania waliofanikiwa kimaisha, amesema ‘Mungu wangu ni mzuri, asante Mungu kwa kunipendelea… usafiri huu kwangu ni muujiza’
 
Hongera sana Masanja endelea kujipanga kwani ulikotoka Mungu pekee ndiye anajua.
 
Aaah Masanja kampita hadi platinum kwa mpunga ametisha.
 
Bora yako masanja unaisaka pesaa unalima unajishughulishaaa,!!
 
amejenga au anahangaika na hayo majini ya kunyonya mafuta...
 
Wepesi kuonyesha magari na wagumu kuonyesha wanapolala

"Taswira ndani ya mboni naona mziki wa kizazi kipya unaelekea mamtoni,wasanii kumiliki magari nyumba za kulala hatuzioni"--Babu alias Tiple 5
 
Na ananyumba nyingine Kigamboni wamepakana na Mpoki.
 
Fanyeni kazi acheni majungu!masanja mkandamizaji ni mpambanaji na anaishi tanzania hii hii mnayo sema hailindi haki za wasaniii!hongera kaka!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Jitihada binafsi zitakufanya ufanikiwe huku DIRA yako kuu akiwa ALLAH.
 
Hongera masanja....nikiona huo mpunga nami natamani kulima ila hata sijui naanzia wapi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…