Hii ndio gari mpya aliyonunua Masanja Mkandamizaji

Nilisikiag umbea kwa waumin wenzie kule kwenye miito ya baraka kwa mchungaji Bruno , jaman walokole wanasengenyana sisi wakaida atuingii ndani, wambea kama sio walokole vile

enhee tuambie bac
 
Hongera mwanawane mkandamizaji mjengo mzuri sanaaaaaa tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sijawahi sikia kama ana mke... warumi tusaidie hapa eti masanja ana mke..

Hivi kweli kuna haja ya kufuga ng'ombe wa maziwa kwa ajili ya maziwa wakati maziwa yanauzwa sokoni bei chee,au kununua gazeti wakati gazeti lipo mtandaoni buure unasoma kwa raha zako.Kuoa nini bana,kuoa kitu gani,wakuolewa wako wapisiku hizi?hizi ndoa ni ndoa za mkataba kama ule wanaoutaka akina Jussa na Maalimu Seif
 
Sanja nae namwonaga kama ana kiutapeli flani kwa watu wa mungu
 
Hahaa mbona umeongea kwa hisia hvyo....kwani wew unauelewa kwani kuhusu ndoa...mtu akikwambia neno ndoa unaelewa nini...?
 
Nilisikiaga wanasema anafanya biashara haramu, Mara hajaokoka, si unajua umbea wa makanisani? Maana c mchezo jamaa pesa anazo , kweli kilimo kinalipa na the comedy show

Walimwengu hawatakosa la kusema
 
Hivi kwanini wasanii hawa wanapenda magari kama design ya maVX kwamba range rover second hand hawazipendi ni mtazamo tu wakuu
 
Nilisikiaga wanasema anafanya biashara haramu, Mara hajaokoka, si unajua umbea wa makanisani? Maana c mchezo jamaa pesa anazo , kweli kilimo kinalipa na the comedy show

hahaa wanadam huwanyimi maneno.........
 
Sasa habari za mke inawahusu nn mwishowe mtasema jamaa shoga kisa bado hajaowa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…