King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Na ananyumba nyingine Kigamboni wamepakana na Mpoki.
Hahaa mbona umeongea kwa hisia hvyo....kwani wew unauelewa kwani kuhusu ndoa...mtu akikwambia neno ndoa unaelewa nini...?
Dah....kuna uzi mmoja kule mmu unasema "wasiobabaishwa na mapenzi" wa Husninyo....funguo huo uzi....kwanini nimesema hvyo nimependa comment ya Preta alipokuwa egypt aliona ndoa ingawa yeye alisema mapenzi kama jinsi unavyoona lakini tangia aende canaan hayo mambo anayasikia kwa watu.....ndugu ndoa zipo endapo tu utamshirikisha Mungu...Sister ndoa zilikuwa zamani ambapo mwanamke alimpenda mwanaume kwa ajili ya upendo,siku hizi mapenzi yamekuwa pesa,umaarufu,sifa na mwisho kusafisha nyota,wadada wa siku hizi huangalia mu mfuko,si mumeona mwenzenu dada nanii....kaolewa na mtu wa umri wa babake kisa pesa,hebu fikiria huyo babu angekuwa sio milionea kweli angemuoa na kuishi na huyo dada yetu .
Dah....kuna uzi mmoja kule mmu unasema "wasiobabaishwa na mapenzi" wa Husninyo....funguo huo uzi....kwanini nimesema hvyo nimependa comment ya Preta alipokuwa egypt aliona ndoa ingawa yeye alisema mapenzi kama jinsi unavyoona lakini tangia aende canaan hayo mambo anayasikia kwa watu.....ndugu ndoa zipo endapo tu utamshirikisha Mungu...
Amen mkuu....Wako wanawake wachache sana mjini wenye mawazo kama yako sure ni mazuri, kama ujaolewa nakuombea upate mume bora, kama umeolewa basi Ndoa yako na idumu ktk furaha siku zote....hapo Dar, wizi mtupu, yani watu wanapenda kwanza pesa alafu baadae wewe. Watoto wa mjini kisu ni ela tu
kajenga nyunba ya ghorofa na kitu kilichomlipa sana ni kilimo cha mpunga.amejenga au anahangaika na hayo majini ya kunyonya mafuta...