hii ndio ghofu yangu ilionipelekea kuaga

NILHAM RASHED

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
1,622
Reaction score
43
s.aleykum....... akhbari zenu myoooote kwa ujumla ??? naituma post hii kwa mashaka na ghofu iliyoitawala nafsi yangu...... kama nilivyowajulisha awal nilikutwa na heart attack.....leo ile siku imewadia tena ya kwenda kuchukuwa my last xrays....nilizo andikiwa zilikuwa tatu nilipata ya pili mwezi uliopita ikawa tatizo bado lipo ikiwa imepunguwa 75% niliongezewa zaidi matibabu.....sasa siku imewadia ya kwenda kuchukuwa ya mwisho kesho na ikikutwa tatizo bado lipo jamani ndio nitahitajika kwa ionajili ya operattion kwakuwa wamesema itakuwa no way out...kwa ajili nikiendelea kukukaa ndio dawa zitazidisha kama tatizo limegoma kuondoka askum lkheyr inshallah .........

ningependa sana sana dua zenu...ndio maana nimewajulisha na nitakuwa offline about 5days i will miss u all..... may allah bless me to come back again inshallah....

urs nilham rashed........:thinking::thinking:
 
Pole sana dada Nilham, may Allah bless you and hope you will be back soon!!
 
Kutoka huku mwituni nami Mbweha nakutakia afya tele mola akujalie upone na afya yako irudi.
 
Pole sana sister NILHAM RASHED tunakuombea kwa sala zetu mwenyezi mungu atakujalia utapona kwani bado tunakuhitaji wewe na mchango wako katika kuiendeleza dunia hii tunashukuru sana kwa taarifa umefanya jambo la busara sana kutujuza kwa hilo so tupo pamoja na tunakuombea upone uwe na afya njema dada!inshallah!
 
pole sana mamiiii, mola atakusaidia kila kitu kitakuwa fresh na utakuwa mzima wa afya
 
Pole sana may Allah be with you as you rest and heal,we are praying for you.
 
thanx,,,, na mi pia bado nawahitaji inshallah kheyr tuonane kwa sihha na afya kwa kila mmoja wetu hilo ndio muhimu abuy shukran.....
 
My prayers on you our beloved sister.
 
Pole sana mpenzi
sala zetu zitakuwa nawa
n a Mwenyeenzi akutangulie katika matibabu yako dear.
sisi hapa JF tutaku miss sana dear.
 
Napiga magoti kwa ajili yako.

Nakuombea heri.
 
Ivunga Ivunga Ivunga
umeanza ae
Haya mie ntamalizia lol

mahabuba nimekumis sana
kukujulia hali nimeona
Nilham kumuombea
maulana atamjalia
afrodenz umejaaliwa
kila kitu na mola
nashukuru kwa kumuombea
Nilham apate afya njema


 
Duuuuuhh, Pole sana, sana, May almighty God be with you all the way, we will miss u, get well soon
 
Pole sana nilham tutakuombea and surely dear everything will be okay na kama ikitokea utafanyiwa operation basi we will pray for you that the operation ifanyike successful lakini all in all kwanza ni kumshukuru Mungu kwa mema yote na pia kumuomba ili majibu utakayopata basi yawe mazuri lakini yote ni mapenzi yake mola.

We will miss you. My prayers on you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…