hii ndio ghofu yangu ilionipelekea kuaga

Asalaam Aleikhum Nilham,
Pole sana bibie,
Allah siku zote yupo nawe,
Inshalaah Mwenyezi Mungu atashusha rehma zake juu yako!
 
dada yangu NILHAM
kwa mola nakuombea
na wala usiwe na hofu
operation haitakuwepo
mola atakusaidia
utakutwa huna tatizo
na zawadi nimekuletea
ya matunda na juice
 
pole sana nilham,nakutakia afya njema,,,with u in prayer
 
Mungu mweza wa wa yote akuponye mpenzi wewe ni mtu mwema wa ajabu huwa niko sana nawe ila huwa sipendi kukuchokoza AFYA NJEMA UPATE UTOKE UKIWA KHERI NA UZIMA TELE NA USIUMWE TENA na uyafurahie maisha siku zote
 
Kuna mtu alinigusa katika maisha yangu kumuenzi nalitumia hili jina kama alias name ila alihusiani na jinsia yangu kaka.

ok poa ndugu yangu, dadayangu anaitwa hivi ndio maana nikauliza but tuko pamoja
 
Mwenyezi Mungu yupo pamoja na wewe. kila kitu kitakua sawa mamii.
 
pole sana Nilham,all the best in yr treatments!
 
Mungu ni mwema dada angu mpendwa, na anakuwazia mawazo ya amani, yupo pamoja nawe nyakati zote. Atakushindia na kukuwezesha katika mambo yote.
 
Mitihani ya mwenyezi mungu, but keep faith, you will b ok
tunakuombea kwa nguvu zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…