hii ndio ghofu yangu ilionipelekea kuaga

Pole bibie...tutakua nawe katika sala!Mungu akujalie ukutwe salama!
 
Pole sana Dada yangu MUNGU YU PAMOJA NAWE ATAKUPA UPONYAJI WAKE. TUNAKUOMBEA
 
Pole dada, Mwenyezi MUNGU mwenye uwezo wote akurejeshee afya yako ili tuendelee kusukuma gurudumu la maendeleo.
 
Pole Nilham zidi kumtumaini Mungu utaona maajabu yake.

Get well soon dear.
 
Pole sana kipenzi changu......
Its real sad to know you are sick and that we will have to miss you for five days....
May Allah be with you at each step and may you get well soon
Love you and will pray for you,everything is gonna be ok.......
 
Hakuna kinachoshinda imani.
Kuwa na imani kwamba Mungu kwa uweza wake akuponye na hata kama itabidi kufanyiwa operation basi Mungu wa rehema nyingi akawatumie madaktari kukupa wewe mja wake afya njema.

Tutakuwa pamoja nawe kwa sala na maombi ili Mungu akuafuu!
 
pole dear,Mungu akutangulie kila kitu kitakwenda sawa.
we will miss you too.
 
Mungu akupe nguvu akuvushe salama..
 

Nilham avatar yako inanikumbusha Pemba. Niliwahi kufanya kazi na wanakijiji wa kule nikagundua kuwa wanawake hawna ujasiri (au hawaruhusiwi) kuwatazama wanaume wasio waume zao moja kwa moja usoni....
 
Mungu ufute yote mabaya yanaweza kutokea katika afya yako...Akulinde na kukudumisha katika muda mrefu wa kuishi... Inshallah...dua zetu ameishazisikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…