Na unavyozidi promotiwa kila wakati na kila saa huku hakuna hatua zozote zinachukuliwa na naamini hazitachukuliwa kwa usiriazi wowote na huu utandawazi,,,kinazidi kuzoeleka kwenye macho,,,masikio,,,na fikra za walimwengu na kuonekana cha kawaida,,,haya mambo si kupiga kelele bali yanahitaji kuchukuliwa hatua madhubuti haswa ya ""mkono wa Chuma na si lelemama kupambana nayo haswa kwa wakati huu ulimwengu unavyodhidi chafuka!!!Na kwa nchi zetu hizi maskini wa fikra,,maono,,ubinafsi,,,Unafki nk ni swala la muda tu,,pambana kadri wewe utavyoweza kwa engo yako lakini upinzani utakao kutana nao si wa kitoto,,,watu wanajali Kitu,,si Utu tena!!