Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ngoja nidownload kwanza hii video niisbuhudie mwenyewe[emoji124][emoji124][emoji124]Hii ndio hali ya Johannesburg, Afrika ya Kusini. Tusipochukua hatua za haraka na madhubuti, hali hii itafika kwetu, tunamuomba Mwenyezi Mungu SUbhana Wataala atunusuru.. TUMUOMBE MUNGU ATULINDIE VIJANA WETU AMIN
View attachment 2556227
Tupe muhtasari basiDah ungesema video inahusu haya majanga wengine tusifungue
Comment zinajieleza huko juu zingatiaTupe muhtasari basi
Kabla sijafungua huwa nasoma comments kwanza kama hizi, hivyo siifungui tena mpaka unitishe hapa na kuniambia
Tatizo wanaoleta video na thread za hivi huwa hawasemi kabisa kuna nini
Bora ujulikane kuliko kuuficha Ili tunapotaka kujisahihisha ushahidi uwepoUshoga mnaupa promo sana,wanaoleta stori za ushoga na mashoga wapo obsession na ushoga,absurd
Hahahah dah tukinyamaza kimya watafeerwa wote 🤣🤣🤣
Mzee baba utabaki mwenyewe uzitafune mbususu zote nchini.Hahahah dah tukinyamaza kimya watafeerwa wote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahah Tito mtu mbadeeMzee baba utabaki mwenyewe uzitafune mbususu zote nchini.
Naona mashabiki wa Slava Ukraine 🇺🇦 wakisheherekea kifurushi kipya cha silaha toka NATO.Hii ndio hali ya Johannesburg, Afrika ya Kusini. Tusipochukua hatua za haraka na madhubuti, hali hii itafika kwetu, tunamuomba Mwenyezi Mungu SUbhana Wataala atunusuru.. TUMUOMBE MUNGU ATULINDIE VIJANA WETU AMIN
View attachment 2556227