Hii ndio halihalisi

mwinch

New Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Hii ni barabara iendayo Shule ya Secondary Ndumbwe ambayo niya kutwa iliyopo Mkoani MTWARA halmashauli ya MTWARA VIJIJINI, imekuwa nikelo kubwa kwa watu wapitao barabara hiyo hasa walimu na wanafunzi wasomao shule ya Secondary Ndumbwe!
 
Nimeshapiga kazi hapo ndumbwe.
Kuna barabara zipo mbili,kuna moja ni ya njia ya waendao kwa miguu ambayo ina mawe sana, na nyingine ni ile ya gari ambayo hutokezea maeneo ya parade.
Ni mbaya na haipitiki.
Naunga mkono hoja japo hujaiweka hiyo barabara ili watu waone hali halisi.
N'daambi kupoje sasaiv?
Nilikuwa nakaa mitaa hiyo,pale dispensari.
Duuh.
Maisha yanaenda kasi sana!
 
Hii ni barabara iendayo Shule ya Secondary Ndumbwe ambayo niya kutwa iliyopo Mkoani MTWARA halmashauli ya MTWARA VIJIJINI, imekuwa nikelo kubwa kwa watu wapitao barabara hiyo hasa walimu na wanafunzi wasomao shule ya Secondary Ndumbwe!

Ndugu taarifa yako ni nzuri, naomba picha.
 
Nmeomba kazi wizara ya elimu nipangiwe Mtwara, napenda sana kuwepo maeneo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…