Pre GE2025 Hii ndio hazina ya vijana CCM tunaotegemea wawe mfano wa uongozi kwa vijana wengine nchini

Pre GE2025 Hii ndio hazina ya vijana CCM tunaotegemea wawe mfano wa uongozi kwa vijana wengine nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Hawa ndio vijana tunaotarajia kuwa viongozi wa kesho, lakini badala ya kusimamia maslahi ya wenzao, wanajikita kwenye kampeni za kusifia bila hoja.

Badala ya kushinikiza fursa na maendeleo kwa vijana, wamebaki kupiga simu za kujipendekeza kwa Mwenyekiti wao wa CCM na mapambio yasiyo na maslai kwa Watanzania

Soma, Pia
 
Msiba mkubwa!! Hawa ndio ngazi za wale wapigaji na genge lao kupanda juu. Generation of idiots
 
Back
Top Bottom