LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Kesi ya Msingi ya Mzee Magoma ilikuwa ni kwamba " Uongozi uliopo wa Yanga hauna uhalali kwa sababu umeingia madarakani kwa mujibu wa katiba ya mwaka 2020 ambayo yeye Mzee Magoma anasema katika hiyo sio halali kwa sababu haijasajiliwa RITA na kwamba katika iliyo sajiliwa RITA ni ile ya mwaka 2011.
.........
Kama huyo hakimu angekuwa anajitambua basi alipaswa kutoa hukumu ifuatayo:
"Kuuagiza uongozi wa Yanga kuepeleka mara moja katiba yao mpya ya mwaka 2020 ikasajiliwe RITA"
Na sio kutoa hukumu ya kuamuru uongozi uliopo eti uondoke madarakani.
Ishu ndogo tu ya technicality.
Narudia tena, Tanzania hatuna wasomi wa sheria ila tuna watu ambao wamekariri vifungu vya sheria.
Ndio maana wanatunga na kuandika sheria ambazo hazina mantiki.
KWA mfano: Kijana wa miaka 17 alie mnajisi mtoto wa mwaka mmoja eti anapewa adhabu ya kifungo cha nje mwaka mmoja au miwili na faini ya sh laki moja.
Ila kijana wa miaka 18 akimpa ujauzito binti wa miaka 17 anafungwa maisha gerezani.