Hii ndio interchange bora Tanzania

Hii ndio interchange bora Tanzania

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Sijajua architect wa hii interchange .. lakini designer ametisha.. alituliza sana kichwa kuja na hii solution kwa eneo dogo kama hili.
 
Design imetulia.. ingejengwa awamu hii pale kungekua na mtaa wa mataa ya kuongozea magari[emoji1]
kabisa kabisa.

nashangaa sana kwa nini haiongelewi sana na MATAGA... sijui ni kwa vile aliyejenga ni JK?
 
Arab contractors ndiye aliye design na kusimamia mradi (RESIDENT ENGINEER)
 
Back
Top Bottom