Maendeleo ya vitu ila watu hamuendelei...!?Asante Rais Magufuli kwa kutuletea maendeleo
kabisa kabisa.Sijajua architect wa hii interchange .. lakini designer ametisha.. alituliza sana kichwa kuja na hii solution kwa eneo dogo kama hili.
Hiyo kitu ni next level atiSijajua architect wa hii interchange .. lakini designer ametisha.. alituliza sana kichwa kuja na hii solution kwa eneo dogo kama hili.