Hii ndio Interview iliyoifanya dunia ifahamu uwepo wa huyu kiumbe

Ngoja nikanunue maandazi kabisa
 
Kama umeshindwa kuweka CV yako japo kwa kurasa 10, haufai kuajiriwa. Mbaya zaidi kama unachukua zaidi ya masaa 6 kujieleza napo ni dalili ya kuwa sio mtumiaji mzuri wa rasirimali, hauajiriki pia.

Safari hii hata sisi mashabiki wako wa kudumu umetuangusha mkuu, umecheza kiwango duni sana.
 
Asante kwa kutuliwaza kipind hiki.nmecheka Sana mzee
 
Sijui kwanini huyu jamaa namfananisha na mtu mmoja anayejielewa, mwenye kariba ya afande 'Jephele' humu jamvini
 
JF inafurahisha sana....vibonzo ni vingi kuliko habari mtambuka...
 
Muongo
 
Ugoro na bangi kipi zaidi kwa urefu?
 
Hii imeturia,hongera sana kwa Kufika uwezo huo
 
Unaelimu kubwa halafu unaandika Maelezo mengi hivi
 
Nina uhakika Mungu wala hana shida na wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…