Hii ndio Interview iliyoifanya dunia ifahamu uwepo wa huyu kiumbe

Changamoto ni kwamba wamiliki wa hayo Makampuni Makubwa hawana CV nzito kama yako ,ndio ujue dunia haiko sawa.
 
Kamsaidie jamaa yako huko mbinguni, ameenda kuwa mkuu wa malaika mbinguni
 
nimesoma kwa umakini Sana stori yako.huyu dogo anasota bule kitaa,aise anakipaji amazing.wanaoweza kumkonect na shigongo,fanyani mpango kipaji Cha dogo kisipotee.ni asset kubwa dogo unayo.

[emoji1787][emoji81][emoji81][emoji1787]
 
Jamii Forum katika Ubora wake
 
Hivi huyu jamaa yupo hai??kweli hii Malaria siyo ya nchi hii!!
 
Ndio nyie viatu vimeisha upande visigino kwa kuzungusha tukunyema na bahasha la kaki

Pole mkuu
 
Wewe jamaa ni msanii mzuri sana hongera sana
 
Im convinced we n Alien or extra terrestrial living organism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…