Hii ndio Interview iliyoifanya dunia ifahamu uwepo wa huyu kiumbe

Kiduku lilo ulibadili ID na kuiita Bill Lugano kumbe
 
Kama kweli hongera!!


Kawaida yangu huwa nikikutana na thread zinazotia hamasa huwa najitahidi kuzisoma mstari kwa mstari hadi mwisho hata kama zinachukua mwezi mzima kikubwa nijifunze jambo na kutumia kama ushuhuda kwa wengine wanaohitaji kujifunza kama mimi.


Uzi huu uwe wa uongo au wa ukweli!,
Binafsi kama "Black walker" nimeuchukua. Ni hayo tu.
 
Ndoto nyevu kama hizi, uwa ndo kipozeo cha kwenye barehe.
 
Kiduku lilo ulibadili ID na kuiita Bill Lugano kumbe
Mimi alinichekeshaga kwenye uzi wake flani yani nilicheka vibaya sana. Eti akiwa mdogo, madogo flani kutoka uswahilini walienda kumtembelea kwao. Madogo walishikwa na mshangao kumuona Kidukulilo akifukuzwa hapa na pale na JOPO la mabeki tatu wakimlazimisha ale sausage, burger, pizza lakini anakataa zimemkinai. Wale madogo wa uswazi wakabaki kusema wangetamani wawe kwenye nafasi yake.

Yani nilicheka balaa nikajiuliza jamaa kafikiria nini kuandika hivyo.?
 
Za mwizi ni 40! Itatokea siku utambulisho wako utajulikana tu na tukakugundua kwamba kumbe dogo umemaliza bachaelor degree pale IFM halafu uko kitaa ukisubiria ajira za Magufuli.
Alishajulikana muda mrefu sana labda wewe ndio hujamjua.

alishaleta uzi wa kutafuta mke
 
Amka wewe utajikojolea
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 jamaa anakuwaga na vimbwanga sana yani anawazaga upuuzi kisha anauandika katika mtiririko flani wa kusisimua sana! Jamaa ana kipaji cha uwasilishaji habari 😂 ni mwandishi mzuri
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Leo ndo umetoa boko kwanza ile mark ii ipo wapi? Pili mashirika ya kimataifa hua hayaulizi unataka ulipwe kiasi gani sababu wanakua wameshakuwekea salary scale yao i.e P4 = 44,000-46,000 USD per annum...
Kwa CV yake ni lazima aulizwe
 
Inaelekea kweli uko humble. Na majukumu yote hayo bado Una muda wa kuwemo JF na kushusha ukurasa wa kujisifia?
 
Huko Kenya ulitumia lugha gani? Kama ni kiingereza ninaomba hiyo video, ili nami nioni ulivyotiririka kwa lugha ya malkia. Kazi yangu ni kuhesabu "actually" zilikuwa ngapi.
 
Mandonga in action....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…