Hii ndio Interview iliyoifanya dunia ifahamu uwepo wa huyu kiumbe

Leo ndo umetoa boko kwanza ile mark ii ipo wapi? Pili mashirika ya kimataifa hua hayaulizi unataka ulipwe kiasi gani sababu wanakua wameshakuwekea salary scale yao i.e P4 = 44,000-46,000 USD per annum...
 
Duuh umenichekesha kinoma kweli bangi sio chai 😂😂😂😂😂
 
Kidukulilo
 
thanks, mmmmmmmmwaaaaaaaaaaa
kwa niaba ya Wana jf,tunapenda kuto tamko kwamba,tumewapa baraka zote kijana ellyskywilly na bint yetu witnessj,mkatengeneze familia yenye upendo na mafanikio.tunaimani hamta sumbuana kwa kuwa mmenolewa vya kutosha humu jamvini.
 
hahahahahahaaaaaaa, mara moja sio mbaya, maana wana jamii forum kila muda ni kubishana tu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah wabongo siwawez
 
K- Vant inaaribu sana vijana . Nadhani ushatupia maana umeanfika utopolo
 
Boss Kiduku.
 
Baada ya kusoma taratibu na kukuta eneo limeandikwa “CV kubwa kama kitabu cha page 200” nimeamua kurudi on top nijue huyu Kamanda ni nani..hatimaye ni Kiduku Lilo on stage! Itoshe kusema sasa ni log out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…