Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Mwambie afanye anachotaka. Hamna kumpa hela. Kama hana huduma ya kufuatilia mawasiliano, basi hana lolote hata hana ushawishi wa kumwambia huyo mwezi wako chichote. Kwani kuwa na namba ya mtu ndio kigezo kwamba unamfuatilia?. Unaweza kumpa mtu namba kwa maswala ya kibiashara tu wala si kosa, na pia unaweza kupata namba ya mtu na mwenza wake hata kwenye kadi ya Harusi , na haimaanishi kwamba ulimpa ili aifuatilie.Ukimfuata inbox anakwambia umpe namba zako na namba za utakae kuangalia mawasiliano yake bila Kwanza yeye kukupa namba yake.
Hii maana yake NI nini?
Kama utafanya kosa la kumpa hizo namba atakacho kifanya NI kuanza kuku intimidate kwamba ataenda kuexpose Siri hiyo Kwa mwenye namba kuwa unataka kufuatalia mawasiliano yake.
So deal litabadilika kutoka kulipa pesa uone msg za mpenzi wako au mtu ulie mkusudia to kutoa pesa ili asitoe Siri hiyo Kwa mpenzi wako au huyo ulie mkusudia kuangalia mawasiliano yake.
So be warned
Ur a genius broMwambie afanye anachotaka. Hamna kumpa hela. Kama hana huduma ya kufuatilia mawasiliano, basi hana lolote hata hana ushawishi wa kumwambia huyo mwezi wako chichote. Kwani kuwa na namba ya mtu ndio kigezo kwamba unamfuatilia?. Unaweza kumpa mtu namba kwa maswala ya kibiashara tu wala si kosa, na pia unaweza kupata namba ya mtu na mwenza wake hata kwenye kadi ya Harusi , na haimaanishi kwamba ulimpa ili aifuatilie.
๐ฟ๐ฟ๐ฟ๐ฟ