C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,017 Reaction score 5,294 Nov 26, 2024 #1 Nawashauri yanga mrudi mkaombe msamaha kwa mzee wenu ambaye mlimdhalilisha sana wakati akidai haki yake. Wengi hamkujua madhara yake lakini sasa hii mnayoiona ndiyo kurujuan Ubaya ubwela
Nawashauri yanga mrudi mkaombe msamaha kwa mzee wenu ambaye mlimdhalilisha sana wakati akidai haki yake. Wengi hamkujua madhara yake lakini sasa hii mnayoiona ndiyo kurujuan Ubaya ubwela
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 3,820 Reaction score 9,625 Nov 27, 2024 #2 Na ngumi huko kambini kila siku nasikia hii ya nyuma juzi domo alimfumua Mwamnyeto gumi la koromeo tena
Na ngumi huko kambini kila siku nasikia hii ya nyuma juzi domo alimfumua Mwamnyeto gumi la koromeo tena
X XaviMessIniesta JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 2,231 Reaction score 2,778 Nov 27, 2024 #3 Magoma
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,245 Reaction score 18,347 Nov 27, 2024 #4 Basi tutampa timu halafu tunaanzisha timu ingine