sundoka
JF-Expert Member
- Oct 9, 2011
- 2,067
- 2,759
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wasiojulikana hao,ukigusa link ulipo wapo km ww mkosoajiSasa Malink ya nini mzee baba? Kwanini usiweke tu hiyo list hapa?
Kabisa ukiclick link wanapata IP adress yako....ingawa unaweza ukaifeki kwa Hide My IP adress apps ,Watawapata wenye STatic IP mda wote so pia ni ngumu kukutrace kwa dynamic IP.Watu wasiojulikana hao,ukigusa link ulipo wapo km ww mkosoaji
Acheni kuwaogopesha watu bhana. Watu wataacha hata kuwa wanapata habari za maana kisa kuogopa. Hiyo ni habari kama nyingine sema nimeshindwa kui copy yote kulingana na mfumo wa habari yenyewe ulivyo.Kabisa ukiclick link wanapata IP adress yako....ingawa unaweza ukaifeki kwa Hide My IP adress apps ,Watawapata wenye STatic IP mda wote so pia ni ngumu kukutrace kwa dynamic IP.