Weah ni Liberia, rekebisha hapo.Kigezo ni ujuzi wawapo uwanjani, ujasiri wa kufanya mambo tofauti na inavyo tarajia, japo wengi hawakupata nafasi vilab vikubwa.
1. Weah (Ghana)
2. Patrick mboma ( Cameroon) ,
3. Okocha
4. KANU
5. Song ( mzee)
6. Diof
7. Etoo
8. Drogba
9.Yayha toure
Ila Joseph mahundi sijajua ni wa nchi gani ningemweka hapa.
timu inawachezaji 11 wengine umeweka wapiKigezo ni ujuzi wawapo uwanjani, ujasiri wa kufanya mambo tofauti na inavyo tarajia, japo wengi hawakupata nafasi vilab vikubwa.
1. Weah (Ghana)
2. Patrick mboma ( Cameroon) ,
3. Okocha
4. KANU
5. Song ( mzee)
6. Diof
7. Etoo
8. Drogba
9.Yayha toure
Ila Joseph mahundi sijajua ni wa nchi gani ningemweka hapa.
Tony sio mghana kweli? embu pitia kumbukumbu zako vizuriKuna Tony Yeboah, Zambia