Hii ndio maana halisi, the inspirational

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Em tubadilishe upepo kidogo baada ya SGR kukomea machakani 😁😁😁😁

Jamaa alianza kama muuza chips, saivi ni realestate mogul

Tanzania has plenty to offer
Kuna wale wanaosema "watanzania wavivu", catch us if you can
 
Huku real estate zimetuchosha yani kila mahali sio kama hizo zenu dar peke yake. Catch us if you can...gap $40b πŸ˜€πŸ˜€
 
Huku real estate zimetuchosha yani kila mahali sio kama hizo zenu dar peke yake. Catch us if you can...gap $40b πŸ˜€πŸ˜€

The whole thing going to pay debts, hiyo inayobaki ni government expenditure plus more new debts engagements
 
Gap redeemer ni $40b na bado inazidi kupanuka. Haya leta mambo ya debts, kibera na njaa.
 
Huku real estate zimetuchosha yani kila mahali sio kama hizo zenu dar peke yake. Catch us if you can...gap $40b πŸ˜€πŸ˜€

Ahaaa haaa haaa
Unaikumbuka ile report ya WBG kuhusu real estate investment.
 
Miradi kama hii inalipa haraka na ni hatua kubwa
Nimeiona miradi ya Haile Gebrasellasie huko Ethiopia sio mchezo
 
I knew you will just bring this old age report. We are in 2019.

Ahaaa haaa haaa
Unless you have an evidence that shows the bridging of US$ 3 bill. Otherwise this will keep on holding water.
 
Kwani kuna currently??? Embu itafute usikute nayo imeshapanua gape si unajua pinnacle imelala kifo cha mende[emoji16][emoji16][emoji16]
I knew you will just bring this old age report. We are in 2019.
 
Ahaaa haaa haaa
Unless you have an evidence that shows the bridging of US$ 3 bill. Otherwise this will keep on holding water.
IMF and World Bank are from the West. Its hard for you to believe a report from IMF (about Tz GDP) but easy to believe another report from World bank. Don't be a hypocrite...
Now that you brought an outdated report, bring the current report from the same World Bank!
 
What have you built in since 2018? Nairobi buildings are coming up everyday and others being proposed. Really isn't static like Dar is slum.
Ahaaa haaa haaa
Unless you have an evidence that shows the bridging of US$ 3 bill. Otherwise this will keep on holding water.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…