ππ kunyalandHuwezi lala bila kuota kuhusu .kenya . View attachment 1553998
Wazee wa kibera hawaMnawapa kazi sana UNICEFView attachment 1554028
Dah, Wana shida sana hawa watu, na hii Corona ndio inawazika kabisa, misaada ya kupambana na Corona nayo, imeibwa. PatheticMnawapa kazi sana UNICEFView attachment 1554028
Thank you for following kenya . Your paranoia increases our soft power in East Africa.Mnawapa kazi sana UNICEFView attachment 1554028
Sio kuwapa kazi hii kuwasumbuaMnawapa kazi sana UNICEFView attachment 1554028
Hio stadium moja ndio mnaturingia?Ndugu zetu wakenya nadhani mna kitu cha kujifuza kutoka kwa kaka yenu Tanzania.
Ukiachana na mambo ya corona, this is Dar es salam young Africans the giant football club in east and Central Africa, tafasiri halisi ya timu iliyo kwenye nchi ya uchumi wa Kati.
Tanzanian football teams are only good in the photo shoot, there is nothing past that. Please do remind them Yanga and Simba that Gor Mahia is waiting to rape them again.Ndugu zetu wakenya nadhani mna kitu cha kujifuza kutoka kwa kaka yenu Tanzania.
Ukiachana na mambo ya corona, this is Dar es salam young Africans the giant football club in east and Central Africa, tafasiri halisi ya timu iliyo kwenye nchi ya uchumi wa Kati.
Kenya is not a country with one stadium, we have a lot.ya kwenu iko wapi?
ππ hebu acha ushamba Gor mahia hiyo timu ilikuja bongo ikafungwa na mbao timu iliyoshuka daraja, ndio kwenu timu tishio kwanza wachezaji wake wanaikimbia aiwezi hata kulipa mishaara kwa wachezaji.Tanzanian football teams are only good in the photo shoot, there is nothing past that. Please do remind them Yanga and Simba that Gor Mahia is waiting to rape them again.
ππ kuna viwanja natuviwanja sasa nyie kenya mnatuviwanja huwezi linganisha na Tanzania ambapo kuna vilabu vya mpira vinamiliki viwanja vizuri vyenye hadhi ya kimataifa, nyie kenya mtasubiri Sana kwani mwakani tunahanza na ujenzi wa kiwanja kikubwa na cha kisasa zaidi east and Central AfricaKenya is not a country with one stadium, we have a lot.
The last time I checked Gor mahia raped Simba and Yanga. There is no team in Tanzania that can threaten Gor Mahia.ππ hebu acha ushamba Gor mahia hiyo timu ilikuja bongo ikafungwa na mbao timu iliyoshuka daraja, ndio kwenu timu tishio kwanza wachezaji wake wanaikimbia aiwezi hata kulipa mishaara kwa wachezaji.
Najua uko kenya Hakuna timu inayoweza kujaza kiwanja chenye capacity yakubeba watu elfu sitini tena wakiwa wameingia kwa kulipa kiingilio lazima ushangae useme ni photo shoot
Siku mtakuwa na kitu kama hiki unitag please. That`s 60,000ππ kuna viwanja natuviwanja sasa nyie kenya mnatuviwanja huwezi linganisha na Tanzania ambapo kuna vilabu vya mpira vinamiliki viwanja vizuri vyenye hadhi ya kimataifa, nyie kenya mtasubiri Sana kwani mwakani tunahanza na ujenzi wa kiwanja kikubwa na cha kisasa zaidi east and Central Africa
Outside that your one stadium hamna ingine tena. This is Nyayo stadium, 30,000 seats.ππ kuna viwanja natuviwanja sasa nyie kenya mnatuviwanja huwezi linganisha na Tanzania ambapo kuna vilabu vya mpira vinamiliki viwanja vizuri vyenye hadhi ya kimataifa, nyie kenya mtasubiri Sana kwani mwakani tunahanza na ujenzi wa kiwanja kikubwa na cha kisasa zaidi east and Central Africa