Hii Ndio Mitaa Iliyonipa Pesa Nyingi Kariakoo


Mimi nilijuaga ni Mitaa ya Gerezani tu, kumbe Kuna mitaa mingine nilikuwa sihifahamu
 
Uzi mzuri ila Ungeweka specificagion ya vifaa vinavyopatikana Huko.

Mfano
Narung'ombe= Taa na umeme.
Gerezani =Chuma
Kipata=plambing material.
Mafia=Rangi.
Nk
 
kuna mtu humu alituma kitabu kina muongozo kuhusu mitaa ya kariakoo pamoja na maduka yanayouza bidhaa kwa bei ya jumla achana na mawinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…