Waliondokaje? Kwa club kunuia au kwa shinikizo la mchezaji?kisinda, msuva, mkoko wako wapi?
Msuva mkataba wake uliisha .Kisinda alikuwepo kwa mkopo mwenye mali akamuuza.Mkoko mlibadiilishiwa mkaletewa Mzee wa pancha Chiko ushindikisinda, msuva, mkoko wako wapi?
Kwani kila mtu lazima acheze nje? In ajib voiceKuna taarifa zinazomuhusu kiungo wa Yanga Feisal Salum kuhitajika na vilabu viwili nje ya Tanzania. Kwenye email rasmi ya Yanga na CEO kuna ofa mbili za Feisal Salum, kutoka klabu ya Ligi kuu Uturuki na Klabu ya Ligi kuu Misri.
Maoni yangu ..
Kama kweli kuna hizo ofa mezani huu ndio muda muafaka wa Faisal kutoa nje ya taifa hili ,kwasasa ana umri wa miaka 24 .Hajachelewa sana maana anatoka akiwa amekomaa ..
Bila shaka wengi tulitegemea hilo kutokana na ufanisi wake msimu huu ..amekua mchezaji muhimu sana kwenye kikosi cha yanga ..namba zake pia zinalidhisha .
Binafsi nilikua nikumungalia feisal akiwa uwanjani;roho ilikua inaniuma sana kuona mchezaji mahili kama huyu astahili hata kidogo kuendelea kubaki tanzania . ustadi katika soka ,uwezo,upambanaji na maamuzi ni moja ya wachezaji waliokamilika na kujitofautisha na vijana wengi wa kitanzania .
Ilikua ni lini kumuona feisal hakiitajika nje ,muda ndio huu …hutokea mara chache sana tena nyakati ambazo ndio kwanza umri unaruhusu .
Sioni kama klabu ya Yanga kama wanaweza kuibania ofa hiyo ,maana hakuna wamachomdai feisal ,kilichobaki ni kumlipa fadhila za kumruhusu aondoke ili akakamikishe ndoto,na pia itakua ni faida kwa taifa hili .
Naamini klabu ya Yanga inaviongozi makini sana,licha ya kuwa na malengo mengi msimu ujao kupitia feisal .. lakini ni vyema wakaangalia hili la faisal kwa jicho la tatu maana hakuna watakachopoteza kutokana pia wanae Aziz Ki ataziba vyema nafasi ya feisal .
Naaamini uwezo wa feisal ,pia namuona feisal ikifika mbali zaidi kama endapo ataenda kucheza uturuki ..Feisal Salumu muda ndio huu ukizembea utafuata nyayo kama za akina kaka zako waliokutangulia kwenye soka .
Waliwahi kupata ofa kama hizi wakazipuuzia kwa kujali zaidi mapenzi ya vilabu vyetu na sasa wapo kwenye majuto .. Hutokea mara chahe sana .
Imeandikwa na Nasri Kulemba
instagram nasrikulemba
Una kisirani hutaki kusikia mazuri ya YangaMsuva mkataba wake uliisha .Kisinda alikuwepo kwa mkopo mwenye mali akamuuza.Mkoko mlibadiilishiwa mkaletewa Mzee wa pancha Chiko ushindi
Waliondokaje? Kwa club kunuia au kwa shinikizo la mchezaji?
AS Vita ile ilivyokua hoi itoe wachezaji key mkopo?hao wote wapo waliomaliza mkataba na wapo waliokuwapo pale kwa mkopo
Kisinda hakuwa mali ya yangabali alikopeshwa yanga na mwinyi zahera, msuva mkataba uliisha, mukoko alichemka kipaji kilidrop.kisinda, msuva, mkoko wako wapi?
hivi Msuva aliondoka free Yanga? Au Diffa walivunja mkatabaYanga kwa wachezaji ni kama kupe na ngozi. Sidhani kama wanaweza kumuruhusu
Hahah mkuu una uhakika Hilo V8 ni la kwake?Dogo aende tu haiwezekani ukikaa mitaa ya K/koo unaona anaendesha ki IST kakipiga chata kubwaaaa nyuma ya FEI TOTO wakati kelvin P john hana ata miaka miwili Genk ila juzi kaingia taifa na vieitee...Uto wamuachie uyo dogo aende majuu yatakuja kuwa kama ya kaka ake mjomba Ngasa enzi izo ngasa anawika akapelekwa Mazembe hataki na ndugu yake Ajibu
Yanga hela ipo, aende nje kufanya niniKuna taarifa zinazomuhusu kiungo wa Yanga Feisal Salum kuhitajika na vilabu viwili nje ya Tanzania. Kwenye email rasmi ya Yanga na CEO kuna ofa mbili za Feisal Salum, kutoka klabu ya Ligi kuu Uturuki na Klabu ya Ligi kuu Misri.
Maoni yangu
Kama kweli kuna hizo ofa mezani huu ndio muda muafaka wa Faisal kutoa nje ya taifa hili ,kwasasa ana umri wa miaka 24 .Hajachelewa sana maana anatoka akiwa amekomaa ..
Bila shaka wengi tulitegemea hilo kutokana na ufanisi wake msimu huu ..amekua mchezaji muhimu sana kwenye kikosi cha yanga ..namba zake pia zinalidhisha .
Binafsi nilikua nikumungalia feisal akiwa uwanjani;roho ilikua inaniuma sana kuona mchezaji mahili kama huyu astahili hata kidogo kuendelea kubaki tanzania . ustadi katika soka ,uwezo,upambanaji na maamuzi ni moja ya wachezaji waliokamilika na kujitofautisha na vijana wengi wa kitanzania .
Ilikua ni lini kumuona feisal hakiitajika nje ,muda ndio huu …hutokea mara chache sana tena nyakati ambazo ndio kwanza umri unaruhusu .
Sioni kama klabu ya Yanga kama wanaweza kuibania ofa hiyo ,maana hakuna wamachomdai feisal ,kilichobaki ni kumlipa fadhila za kumruhusu aondoke ili akakamikishe ndoto,na pia itakua ni faida kwa taifa hili .
Naamini klabu ya Yanga inaviongozi makini sana,licha ya kuwa na malengo mengi msimu ujao kupitia feisal .. lakini ni vyema wakaangalia hili la faisal kwa jicho la tatu maana hakuna watakachopoteza kutokana pia wanae Aziz Ki ataziba vyema nafasi ya feisal .
Naaamini uwezo wa feisal ,pia namuona feisal ikifika mbali zaidi kama endapo ataenda kucheza uturuki ..Feisal Salumu muda ndio huu ukizembea utafuata nyayo kama za akina kaka zako waliokutangulia kwenye soka .
Waliwahi kupata ofa kama hizi wakazipuuzia kwa kujali zaidi mapenzi ya vilabu vyetu na sasa wapo kwenye majuto .. Hutokea mara chahe sana .
Imeandikwa na Nasri Kulemba
instagram nasrikulemba
Kisinda hakuwa mali ya yangabali alikopeshwa yanga na mwinyi zahera, msuva mkataba uliisha, mukoko alichemka kipaji kilidrop.
Sawa wakalaKisinda hakuwa mali ya yangabali alikopeshwa yanga na mwinyi zahera, msuva mkataba uliisha, mukoko alichemka kipaji kilidrop.
Mkuu hata hilo hujui? Halafu wewe ni shabiki kabisaaa wa Yanga. Msuva mkataba wake na Yanga uliisha ndo akasajiliwa na hao waarabu wa morocco.hivi Msuva aliondoka free Yanga? Au Diffa walivunja mkataba
mkuu nitake radhi mi siyo utopoloMkuu hata hilo hujui? Halafu wewe ni shabiki kabisaaa wa Yanga. Msuva mkataba wake na Yanga uliisha ndo akasajiliwa na hao waarabu wa morocco.
Hahaha lolote linawezekana mkuu, ni kama vile usikie Onyango ana miaka 28, Kibwana , Dick Job pamoja na kukomaa kote ila wana 23[emoji23]Miaka 24 Fei??
Wewe hela za GSM tu zimekufanya uvimbewe tumbo, hawa wanaopata huo mpunga ambayo ni budget yenu kwa mwaka mzima kupitia gate pass tu waseme nini?Yanga hela ipo, aende nje kufanya nini