musacha
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 185
- 139
Waungwana habari za wakati huu;
Kwanza nianze kutambua na kupongeza kwa dhati michango na mawazo mbalimbali ya wanajukwaa, ambayo Imekuwa msaada mkubwa na dira katika maisha yangu na wanajukwaa wengine.
Wanajukwaa nimejiwekea akiba mpaka imefikia Tshs 10 Milion, na sasa nataka nianze biashara na nimefikiria kuanza kuleta bidhaa toka china. Naomba kupewa msaada wa mawazo na ushauri kuhusu biashara ya kuingiza bidhaa toka china Kwa kulenga.
1. Bidhaa ambazo naweza kuagiza kwa Mtaji huu (10 Mil.)
2. Biashara zingine ninazoweza kufanya kwa mtaji huu.
3. Pia unaweza kutoa ushauri mwingine wenye tija.
NAAMINI MICHANGO YENU NDIO INAWEZA KUPUNGUZA UMASIKINI NA UTEGEMEZI.
Natanguliza shukrani