Team wema wanamuambia zari kwamba diamond anatoka na kale kademu video queen wa wimbo ya raymond kwetu wanamtia presha tu bibie zari n ukicheki mtoto mwyn bado mbichi balaa[/QUOTE
SIWEZI KUKUBALI AU KUKATAA HATA NINGEKUWA MIMI DOMO KATOTO KABICHI KALE NISINGEKAACHA KAPITE HV HV.........LAZIMA ATAKUWA KAPIGA KWELI............KUNA MTU KASEMA ETI ANAZO HADI COMMUNICATIONS ZAO....SASA SIJUI NI KIGORI HUYU AU MWINGINE.
Nasikia siku hizi hamtumii jina la shoga ila shostiKwenye a/c gani shoga?
Sina khabari ati..... 😉
Hapa ndio amekulia super staa Chibu Dangote
View attachment 341213
View attachment 341215
Kwa sasa ameikarabati
View attachment 341216
View attachment 341217
Kaikarabat kwaajili ya kutunzia viatu vyake tu.So,anaishi kijana mmoja na viatu vya Diamond bas!Ni nani anaishi hapo kwa sasa? au Maza?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kaikarabat kwaajili ya kutunzia viatu vyake tu.So,anaishi kijana mmoja na viatu vya Diamond bas!