Hii ndio orodha ya kozi ambazo ukisoma unaweza kuzibadilisha kuwa wazo la biashara

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,397
Reaction score
12,415
HII NDIO ORODHA YA KOZI ZA VETA AMBAZO UKISOMA UNAWEZA KUZIBADILISHA KUWA WAZO LA BIASHARA

Unapojifunza moja ya kozi hizi kutoka VETA, hupati tu ujuzi wa ajira – unapata nafasi ya kuanzisha biashara yako mwenyewe!
Hizi ni kozi zinazoweza kugeuka kuwa miradi ya maana inayolipa kila sikuπŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ”§ Uungaji & Uchomeleaji Vyuma – Tengeneza milango, madirisha, na grill za kisasa
πŸͺ΅ Useremala | Seremala – Fungua karakana ya furniture au fanya kazi kwa order
βš™οΈ Utengenezaji wa Vipuri vya Mitambo – Tengeneza spare parts kwa soko la ndani
πŸ”† Umeme wa Jua na Umeme wa Majumbani – Toa huduma za solar & wiring mitaani
🚜 Ufundi Magari, Mitambo & Pikipiki – Fungua garage au workshop ya mafundi


View: https://www.instagram.com/p/DMTptM6oo83/?igsh=MWd4bDV5Yzc2dmU0dQ==

πŸ“ Vyuo vya VETA vipo nchi nzima!
Unachotakiwa kufanya ni:
βœ… Chagua kozi yako
βœ… Jifunze ujuzi wa vitendo
βœ… Anzisha biashara yako
βœ… Tengeneza pesa kwa jasho lako πŸ’ͺπŸ½πŸ’Έ

#KoziZaVETA #VETA2025 #ElimuNaBiashara #SkillsThatPay #YouthInBusiness #Jiajiri #BiasharaKwaUjuzi #WasomiWaKesho #ChaguaKoziSahihi #UjuziNiMtaji #TanzaniaYouth #VijanaKazini #Ujasiriamali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…