Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

Kila mtu afanye mambo kwa maslahi ya Jamii yake,
Huku kwetu Kusini hatufanyi mambo kwa kushindana na fulani, and the fact is tumeshapiga hatua sana na Jamii zetu zimesoma ,
Ndio maana ni nadra sana kuona nyuzi za kujimwambafai eti sisi ni zaidi ya fulani ikiwa waafrica wote ni watu masikini..
Suala la kusoma dunia ya leo sio la kujisifia tena maana kila mtu amesoma,
Tena elimu ni basic need, wala halimfanyi mtu awe na significant advantage kuliko mwingine kwenye maisha kwa upana wake,
Niseme tu, Mikoa kama Iringa ukianzia mji na wilaya zake kwakweli tumefika mahala na tunaona tulikotoka, si haba. Na hapa tulipofika haikuwa juhudi za wasomi pekee bali ni collective efforts za watu wenye uchu wa kujikwamua kwenye umaskini wa Kiafrica,
Njombe pia na wilaya zake na Mbeya as well,
Tukiendelea hivi miaka 20 mbele tutakuwa mbali zaidi.
Ndugu zangu wana Iringa tuendelee kuchapa kazi. Mashindano ya nani anamzidi nani ni mambo ya kishamba na ya kizamani.
 
Mufindi as a district is very rich ...fursa ni nyingi mno...mbao, mahindi, chai, matunda, ulezi, asali, Hali ya hewa nzuri, karanga, mboga Kama kabichi, nyanya, vitunguu, viazi, maboga...
Mufindi na Kilolo. Kama una pesa fanya kununua ardhi haya maeneo, utanishukuru miaka 10 ijayo.
 
Mufindi na Kilolo. Kama una pesa fanya kununua ardhi haya maeneo, utanishukuru miaka 10 ijayo.
Nafikiria kuhamia kati ya Mufindi au Lushoto au Rungwe. Nimetembelea maeneo haya yote napendelea mojawapo yawe makazi yangu ya kudumu.
 
🙏 🙏 🙏 🙏 for appreciation
 
Kwa mujibu wa Waziri Biteko Ilemela MC na Geita TC wataanza kupiga pesa ya kiwanda cha kusafisha dhahabu zaidi ya bil.30 kwa mwaka pindi viwanda hivi vikiwa operational at their full capacity.

Hili likiwa materialised itaziboost sana hizo Halamshauri na kuanza kushindana na Manispaa za Dar,ni vyema wakazitumia vizuri kuwekeza kwenye mahitaji ya wananchi

Sijawahi mpongeza mwendazake ila kwa hili natoa kongole za kutosha maana watu walikuwa wanatorosha dhahabu kwa njia ya makinikia
 
Raha ya maisha ni ligi mkuu na kujilinganisha bila hivyo haina maana kabisa
 
Mbona hakuna Makambako kwenye orodha wafanyabiashara wanakokimbili? 😆😆😆😆
 
Kilomita ngapi hiyo lami?! Labda mita 20 yaani kutoka getini mpaka kwenye nyjmba yake
 
Umeandika mlimba hiyo mlimba ya morogoro? Mbona kilombero umeiyacha, ina maana makusanyo ya tanesco na kilombero suger hawaingizi kipato cha kutosha?
Kilombero ina halmashauri mbili kama sijapokea,halmashauri ya mji Ifakara na halmashauri ya Mlimba.Hapo yametajwa mapato ya halmashauri na siyo ya wilaya nzima ya Kilombero.
 
Kilombero ina halmashauri mbili kama sijapokea,halmashauri ya mji Ifakara na halmashauri ya Mlimba.Hapo yametajwa mapato ya halmashauri na siyo ya wilaya nzima ya Kilombero.
Sasa mkuu mada ni mapato ya Halmashauri ndio yameonesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…