Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

Hapa ndio tunaona umwamba wa Arusha πŸ‘Š
 
Muleba imeizid bukoba mjini yenye bandari na viwanda na viwanja vya ndege naomba nielimishwe kidogo.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Muleba mnaichukulia poa sana, kisa haina maghorofa, asilimia kubwa ya Ziwa Victoria lipo Muleba ikiwa ni pamoja uwepo wa visiwa vingi vya uvuvi na sio Bukoba, mapato ya uvuvi (leseni/ vibali vya usafirshaji) mazao ya uvuvi yanaingia Muleba, bado usajili wa vyombo vya uvuvi, mialo. Bado ujagusa kilimo, hasa ndizi, maharage, vanilla, parachichi, misitu ya mbao, eneo ambalo Muleba ina uwezo wa kufanya vzuri zaidi kuliko Bukoba kutokana na uwepo mkubwa wa aridhi ya Kilimo kuliko Bukoba mji na Bukoba Vijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…