Tetesi: Hii ndio picha ya Diamond iliyowekwa ikulu

Lakini pia si kuna picha za vikatuni vya kuchora vimewekwa hapo Ikulu? kwa hiyo sio issue hususani kwa utawala huu wa Magufuli.
 
ameingizia serikali sh ngapi hyu dogo?
yupo vizuri ila sijui kama anastahili yote hayo lakini napita tu
ila nampenda sana diamond he is real inspirational
Diamond ameajiri vijana wengi mno wengi tayari wamejenga wanaendesha magari kupitia kampuni zake kama WCB record label, WCB production house, WCB photos nk.... Kwenye show zake watu wanatengeneza mamilioni kwa siku moja kuanzia wandaaji wamachinga nk... Kuna watu instagram wanaendesha family zao kupitia story za Diamond... So nje ya mapinduzi yake kwenye sanaa nzima ya Tanzania ametekeleza ajira nyingi sana.
 
Maandishi ya JF yamekuwa madogo sana. Sasa I don't know whether everyone is experiencing this problem. Please mods, can you do something to rectify the problem?
 
mzee mengi kaajiri watu wangapi
bhakresa je
mohamed dewji
rostam aziz
na wengineo wengi je picha zao zipo ikulu kama issue ni kuajiri watu?
 
"natafuta, post: 16291217, member: 325782"]mzee mengi kaajiri watu wangapi
bhakresa je
mohamed dewji
rostam aziz
na wengineo wengi je picha zao zipo ikulu kama issue ni kuajiri watu?[/QUOTE]
Wanakwepa kodi hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…