Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Siandiki maandishi mengi sababu ulichoandika umeniwakilisha swali langu.mzee mengi kaajiri watu wangapi
bhakresa je
mohamed dewji
rostam aziz
na wengineo wengi je picha zao zipo ikulu kama issue ni kuajiri watu?
Kama unatumia simu inakubidi urekebishe nwenyewe hasa pale unapokwenda sehemu ya settings ndipo penye hiyo sehemu husika.Maandishi ya JF yamekuwa madogo sana. Sasa I don't know whether everyone is experiencing this problem. Please mods, can you do something to rectify the problem?
iko sehem ganUkiingia conference room ya ikulu utakutana na hii picha ya Nasib Abdul almaarufu Diamond Platnumz.
View attachment 350546
Ya babu tale!Ikulu hii ya Uncle Magu au ikulu ya Mkubwa Fela?
Itakuwa una kaakipele flan kanakusumbua,Hongera zake. Diamond ndiye kitu pekee taifa tunaweza kujivunia. Zaidi ya hapo kuna nini?
ameingizia serikali sh ngapi hyu dogo?
yupo vizuri ila sijui kama anastahili yote hayo lakini napita tu
ila nampenda sana diamond he is real inspirational
Hahahah namm nahitaji kujua ikulu ya mtumbuaji auuuuu......!!!!!??Ikulu hii ya Uncle Magu au ikulu ya Mkubwa Fela?
kuna yangaHongera zake. Diamond ndiye kitu pekee taifa tunaweza kujivunia. Zaidi ya hapo kuna nini?
Siku mojamoja uwa una akili....Ni art nzuri sana.
Umeandika nini sasa!?Hiyo picha ni kwakuwa aliipigia debe ccm angekuwa upinzani wala msingeiona si unajui hii nchi inaongzwa na siasa na unafiki