nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
QUUR-JUWAAN . Nikimnukuu Magoma, Mwanachama wa Yanga aliyekwenda mahakamani kuishtaki Bodi ya wadhamini wa Dar Young African, aliulizwa haogopi Ju-Ju- Man akajibu hapo ndio wasijaribu, kwasababu atasoma Dua inayoitwa QUUR-JUWAAN ambayo itamkuta aliyetenda, aliyehadithia, aliyechangia hoja, aliyesikiliza, aliyecheka na imeenda kwa waliotoa pongezi kwa kutenguliwa Mh Nape Mosses Nnauye.
Pia soma: Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa
1>> Bi Moroco
2>> Mhandisi Utangazaji
3>> Bgd Jen Mabango
4>> Prof Nkoma
5>> Bw Chande
6>> Mashiba
Pia soma: Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa
1>> Bi Moroco
2>> Mhandisi Utangazaji
3>> Bgd Jen Mabango
4>> Prof Nkoma
5>> Bw Chande
6>> Mashiba