ChikoTz
Member
- Feb 26, 2019
- 37
- 33
Ebwana kama wewe unajua timu yako imepita kuingia katika robo fainali basi ni vyema ukajua pia kama timu yako imepangiwa na nani. Sasa mambo yote hapo chini kwenye picha ujue kwamba kivumbi kitaanza tena katika Europa mpaka tumpate bingwa sasa mimi natoa nafasi ya kubashili hivi wewe unadhani ni timu gani ambayo itafanikiwa kunyakua Ubingwa wa Europa league
CHANZO
www.msakaji.com
Sent using Jamii Forums mobile app
CHANZO
www.msakaji.com
Sent using Jamii Forums mobile app