Hii ndio ratiba ya Robo Fainali ya Europa ligi

ChikoTz

Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
37
Reaction score
33
Ebwana kama wewe unajua timu yako imepita kuingia katika robo fainali basi ni vyema ukajua pia kama timu yako imepangiwa na nani. Sasa mambo yote hapo chini kwenye picha ujue kwamba kivumbi kitaanza tena katika Europa mpaka tumpate bingwa sasa mimi natoa nafasi ya kubashili hivi wewe unadhani ni timu gani ambayo itafanikiwa kunyakua Ubingwa wa Europa league
CHANZO
www.msakaji.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Semi final Napoli, Villarreal, Benfica na Chelsea. Mark my words
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…