mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,559
Sio kwamba sina mkanda mzuri ambao utanifanya nionekane bomba
Sio kwamba sina suruali nzuri zinazofaa kuchomekea la hasha.
Sio kwamba sina mashati nadhifu ambayo nikichomekea utasema naam Mapipando kapendeza.
Jamani sio kwamba mwili wangu hauruhusu kuchomekea, umbo langu limekaa vyema mno.
Shida yangu ni kwamba, nikimwona mwanamke mwenye umbo matata, tako tako, hips kama zote, maziwa size medium, tabasamu mwanana, mwendo kama hataki, mapaja yaliyonona walahi lazima nidinde.
Na ukizingatia jiji la bashite limejaa wadada warembo ndio kabisaa nimechemka kuchomekea.