Hii ndio sababu inayonifanya nisipende kuchomekea

mapipando

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,922
Reaction score
3,559
Sio kwamba sina mkanda mzuri ambao utanifanya nionekane bomba

Sio kwamba sina suruali nzuri zinazofaa kuchomekea la hasha.

Sio kwamba sina mashati nadhifu ambayo nikichomekea utasema naam Mapipando kapendeza.

Jamani sio kwamba mwili wangu hauruhusu kuchomekea, umbo langu limekaa vyema mno.

Shida yangu ni kwamba, nikimwona mwanamke mwenye umbo matata, tako tako, hips kama zote, maziwa size medium, tabasamu mwanana, mwendo kama hataki, mapaja yaliyonona walahi lazima nidinde.

Na ukizingatia jiji la bashite limejaa wadada warembo ndio kabisaa nimechemka kuchomekea.
 



Joti bwana, yeye kila kitu kwake ni maigizo tu!
 
Itakua mpiga nyeto wewe

Kuepuka na kudindisha pasipo na ulazima tafuta mwanamke gonga kila siku, hutapata tena
 
Itakua mpiga nyeto wewe

Kuepuka na kudindisha pasipo na ulazima tafuta mwanamke gonga kila siku, hutapata tena
Nimeacha kitambo sana, inapata mwaka sasa na najitahidi kweli nisipige tena.
 
Kipindi niko o level form three tupo class teacher alikua anafundisha reproduction basi kama mnavyojua hicho kipindi hata wake madojaz hawakosi kuudhuria, nikashtukizwa swali na mwalimu alafu akanambia simama ujibu swali, aisee nilitia aibu suruali imetuna watu darasa zima walicheka alafu ticha ni mwanamke kuanzia hapo nikaacha kuchomekea suruali
 
vaa boxer la jins mkuu, tanguliza hata matatu ukiweza, ikishindikana funga na mpira kuepusha usumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…