Leo wazee wa " mass testing" wameongeza wengine 16. Wahusika wameshamaliza kutangaza na kuingia katika magari yao na kurudi majumbani mwao, tunasubiri kesho tena, " like yesterday, like today, like tomorrow, nothing new, life goes on."
Sent using
Jamii Forums mobile app