Hizo statistics uchwara , ukiwa SA , Kenya is not even on the conversation. Rwanda is more famous than Kenya pale SA, ndugu yenu iAm Marwa kule YouTube ali kiri South Africa kuna watanzania wengi na Tanzania ni maarufu sana SA kuliko Kenya.
Wakenya wachache walikuwepo SA hujitambulisha kama Wabongo. In short Kenya is not relevant SA ,kubalini tu hilo.