Paramagamba
Member
- May 12, 2017
- 85
- 129
"Wanaume wengi tunakufa vitani".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu hii ni belief ambayo sijui tunarithishana ya kuamini wanawake ni wengi kuliko wanaume..
Lakini ukweli ni kwamba DUNIANI IDADI YA WANAWAKE NA WANAUME NI APPROXIMATELY SAWA..
Yaani ratio ya wanawake kwa wanaume n 1:1
Hata tanzania sensa ya 2012 tulikua mil 45 wanaume wakiwa mil 22+ na wanawake wakiwa mil 22+..
Hii kitu ya wanawake kuwa wengi kuliko wanaume sijui aliianzisha nani na kwa manufaa gani??
Itakuwa aliyeanzisha anataka uhalali wa kuwa na wanawake wengi.Halafu hii ni belief ambayo sijui tunarithishana ya kuamini wanawake ni wengi kuliko wanaume..
Lakini ukweli ni kwamba DUNIANI IDADI YA WANAWAKE NA WANAUME NI APPROXIMATELY SAWA..
Yaani ratio ya wanawake kwa wanaume n 1:1
Hata tanzania sensa ya 2012 tulikua mil 45 wanaume wakiwa mil 22+ na wanawake wakiwa mil 22+..
Hii kitu ya wanawake kuwa wengi kuliko wanaume sijui aliianzisha nani na kwa manufaa gani??
Mi nataka siku mmoja wanaume tulete mgomo. Tuko wachache alafu kunakuwa Na ushindani kuwa pata mademu. Niko bar hapa kuna muhudumu kisu hatulii anaitwa kila meza hili jambo lina niudhi sana. sasa kama sasa hivi kahama meza na bia tulizo mnunulia,
we paramagamba VP? hawa wameumba kwa ajili yetu sasa misifa ya kipumbavu ina sababasha competition isiyo na msingi. Sasa uhuni unatoka wapiWewe ni muhuni tu hakuna jingine.
we paramagamba VP? hawa wameumba kwa ajili yetu sasa misifa ya kipumbavu ina sababasha competition isiyo na msingi. Sasa uhuni unatoka wapi
takwimu ya UN...googleHalafu hii ni belief ambayo sijui tunarithishana ya kuamini wanawake ni wengi kuliko wanaume..
Lakini ukweli ni kwamba DUNIANI IDADI YA WANAWAKE NA WANAUME NI APPROXIMATELY SAWA..
Yaani ratio ya wanawake kwa wanaume n 1:1
Hata tanzania sensa ya 2012 tulikua mil 45 wanaume wakiwa mil 22+ na wanawake wakiwa mil 22+..
Hii kitu ya wanawake kuwa wengi kuliko wanaume sijui aliianzisha nani na kwa manufaa gani??
Usihofu mkuu hata yeye atawaita.Akimaliza kuwaita tutawasomea Wakorinto wa Pili.Mi nataka siku mmoja wanaume tulete mgomo. Tuko wachache alafu kunakuwa Na ushindani kuwa pata mademu. Niko bar hapa kuna muhudumu kisu hatulii anaitwa kila meza hili jambo lina niudhi sana. sasa kama sasa hivi kahama meza na bia tulizo mnunulia,
Uko nyuma ya taharifa muhimu duniani big timeHalafu hii ni belief ambayo sijui tunarithishana ya kuamini wanawake ni wengi kuliko wanaume..
Lakini ukweli ni kwamba DUNIANI IDADI YA WANAWAKE NA WANAUME NI APPROXIMATELY SAWA..
Yaani ratio ya wanawake kwa wanaume n 1:1
Hata tanzania sensa ya 2012 tulikua mil 45 wanaume wakiwa mil 22+ na wanawake wakiwa mil 22+..
Hii kitu ya wanawake kuwa wengi kuliko wanaume sijui aliianzisha nani na kwa manufaa gani??
itakua ilianzishwa na hao hao wanawake kujustify kutokuolewa kwao, na wanaume wakaichukua na kuitumia kama siraha ya kuwarubuni wanawake.Halafu hii ni belief ambayo sijui tunarithishana ya kuamini wanawake ni wengi kuliko wanaume..
Lakini ukweli ni kwamba DUNIANI IDADI YA WANAWAKE NA WANAUME NI APPROXIMATELY SAWA..
Yaani ratio ya wanawake kwa wanaume n 1:1
Hata tanzania sensa ya 2012 tulikua mil 45 wanaume wakiwa mil 22+ na wanawake wakiwa mil 22+..
Hii kitu ya wanawake kuwa wengi kuliko wanaume sijui aliianzisha nani na kwa manufaa gani??
cha ajabu mnasema wanawake ni wengi lkn bado wana kibao hawana hata demu mmoja,wakai hao wanawake ambao ni wengi unakuta mwanamke mmoja anamiliki mabwana watano,hesabu yake huwaga siielewi inakuwaje aisee....