Hii ndio sababu kuu kwanini wanawake ni wengi duniani kuliko wanaume

Halafu hii ni belief ambayo sijui tunarithishana ya kuamini wanawake ni wengi kuliko wanaume..

Lakini ukweli ni kwamba DUNIANI IDADI YA WANAWAKE NA WANAUME NI APPROXIMATELY SAWA..

Yaani ratio ya wanawake kwa wanaume n 1:1

Hata tanzania sensa ya 2012 tulikua mil 45 wanaume wakiwa mil 22+ na wanawake wakiwa mil 22+..

Hii kitu ya wanawake kuwa wengi kuliko wanaume sijui aliianzisha nani na kwa manufaa gani??
 
Regardless,jamaa katoa sababu ya kweli pia!

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka zamani wakati tunaandika essay kulikuwa kuna major points na minor points
 
Itakuwa aliyeanzisha anataka uhalali wa kuwa na wanawake wengi.
 
Mi nataka siku mmoja wanaume tulete mgomo. Tuko wachache alafu kunakuwa Na ushindani kuwa pata mademu. Niko bar hapa kuna muhudumu kisu hatulii anaitwa kila meza hili jambo lina niudhi sana. sasa kama sasa hivi kahama meza na bia tulizo mnunulia,
 
Wewe ni muhuni tu hakuna jingine.
 
takwimu ya UN...google
 
Mi nataka siku mmoja wanaume tulete mgomo. Tuko wachache alafu kunakuwa Na ushindani kuwa pata mademu. Niko bar hapa kuna muhudumu kisu hatulii anaitwa kila meza hili jambo lina niudhi sana. sasa kama sasa hivi kahama meza na bia tulizo mnunulia,
Usihofu mkuu hata yeye atawaita.Akimaliza kuwaita tutawasomea Wakorinto wa Pili.
 
Uko nyuma ya taharifa muhimu duniani big time
hustahili hata kubishiwa
 
itakua ilianzishwa na hao hao wanawake kujustify kutokuolewa kwao, na wanaume wakaichukua na kuitumia kama siraha ya kuwarubuni wanawake.

Shame on us.
 
cha ajabu mnasema wanawake ni wengi lkn bado wana kibao hawana hata demu mmoja,wakai hao wanawake ambao ni wengi unakuta mwanamke mmoja anamiliki mabwana watano,hesabu yake huwaga siielewi inakuwaje aisee....

Mngh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…