Hii ndio sababu Machinga hawatakiwi kuuza sehemu zenye maduka

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Gharama za mwaka

MACHINGA
Rushwa kwa mgambo - 50,000
Fremu - Shilingi sifuri
Kodi ya Fremu kwa TRA - Shilingi sifuri
Kodi ya biashara TRA - Shilingi sifuri
Leseni ya Jiji - Shilingi sifuri
Service Levy - Shilingi sifuri
Taka - Shilingi sifuri
Umeme - Shilingi sifuri
kodi ya ulinzi shirikishi - Shilingi sifuri
JUMLA 50,000


MWENYE DUKA
Fremu ya laki 2 - 2,400,000
Kodi ya Fremu kwa TRA - 150,000
Kodi ya biashara TRA - 220,000
Leseni ya Jiji - 110,000
Service Levy - 50,000
Taka - 60,000
Umeme - 100,000
kodi ya ulinzi shirikishi - 120,000
JUMLA : 3,210,000

Mwenye duka inabidi auze kwa bei zaidi ili kufidia hizi gharama lakini Machinga anaweza kuuza kwa bei ya chini zaidi kwasababu hazijui gharama
 
Wenye maduka nao siku hizi wana machinga wao nje ya frem.
 
Hizo kodi zote mfanyabIashara ananufaikaje
 
MWENYE DUKA
Fremu ya laki 2 - 2,400,000
Kodi ya Fremu kwa TRA - 150,000
Kodi ya biashara TRA - 220,000
Leseni ya Jiji - 110,000
Service Levy - 50,000
Taka - 60,000
Umeme - 100,000
kodi ya ulinzi shirikishi - 120,000
JUMLA : 3,210,000

Mwenye duka inabidi auze kwa bei zaidi ili kufidia hizi gharama lakini Machinga anaweza kuuza kwa bei ya chini zaidi kwasababu hazijui gharama
[/QUOTE]

Mengineyo kwa ndugu mfanyabiashara ya binafsi
Chai na chakula cha mchana shilingi 💣
Nauli kuja dukani na kurudi 💣
Kumlipa mfanyakazi wa kuuza duka💣
Sometimes kuchangia bili ya maji!💣
👎👎
 
Mmh!Hapo kwa mwezi huyo mfanyabiashara anauwezo wa kuingiza bei gan kama faida?
 
Mmh!Hapo kwa mwezi huyo mfanyabiashara anauwezo wa kuingiza bei gan kama faida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…