Hii ndio sababu ya video ya Nagharamia kuchelewa

Hii ndio sababu ya video ya Nagharamia kuchelewa

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Habari zilizopatikana nchini kenya zinasema director wa video ya nagharamia iliyoshooting South Africa na mkenya Enok Olic ameamua kubaki na video hiyo kwasababu Christian Bella na Ali Kiba hawajamalizia pesa ya malipo kwa director huyo, deni hilo ndio kikwazo kikubwa kwa mastaa hao wa masauti nchini.
 
Linyimbo lenyewe libayaaaaa mi sitaki hata kuiona video yake iliyorudiwa zaidi ya x 2 ku-shoot na ninajua kuwa wanadaiwa na hii nikutokana na kutaka vitu vilivyo nje ya uwezo wao na sababu kubwa kujilazimishia kushindana na mtu ambaye si levo yake, halafu baadae atasema ooh kuna watu wanatumia pesa zao kwa ajili yangu ili mimi nishindwe kulipia video yangu.
 
Bella bora katoa ngoma nyingne na Koffi fasta kalii sana. Cku nyingne aangalie hawa watoto sio wakufanya nao collabo tena watamshusha hadhi. Bella the #KingOfBEstMelodiz
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] #nawacheka kwa dharau

Tupo pamoja mkuu.. mkihitaji msaada msisite kubisha hodi wasafi pale kwa King of Afropop hanaga roho mbaya, atamsaidia kiba hata na yeye aonekane mseto tv ya kenya
 
Mkali Diamond yeye kamleta Godfather na crew yake waje kupiga kazi Tanzania.
 
Tupo pamoja mkuu.. mkihitaji msaada msisite kubisha hodi wasafi pale kwa King of Afropop hanaga roho mbaya, atamsaidia kiba hata na yeye aonekane mseto tv ya kenya

Mseto tv ndo nini? iko nchi gani? hebu Google hapo ulipo utuwekee link tuijue
 
Linyimbo lenyewe libayaaaaa mi sitaki hata kuiona video yake iliyorudiwa zaidi ya x 2 ku-shoot na ninajua kuwa wanadaiwa na hii nikutokana na kutaka vitu vilivyo nje ya uwezo wao na sababu kubwa kujilazimishia kushindana na mtu ambaye si levo yake, halafu baadae atasema ooh kuna watu wanatumia pesa zao kwa ajili yangu ili mimi nishindwe kulipia video yangu.

Kuachwa kubaya... Jokate kasababisha yote hayo pole wivu usigeuze hasira shemeji
 
imebuma wala asihangaikie video tena kwnn kibakuli hajifunz?ama ni poor management?video zake lazma utata utata na anacheleweshaga sana! hajui ku magufulisfy vitu kabisa hebu amuone baba t,dangote,chibu amfundishe kumagufulika!
 
Back
Top Bottom