[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] #nawacheka kwa dharau
Tupo pamoja mkuu.. mkihitaji msaada msisite kubisha hodi wasafi pale kwa King of Afropop hanaga roho mbaya, atamsaidia kiba hata na yeye aonekane mseto tv ya kenya
Linyimbo lenyewe libayaaaaa mi sitaki hata kuiona video yake iliyorudiwa zaidi ya x 2 ku-shoot na ninajua kuwa wanadaiwa na hii nikutokana na kutaka vitu vilivyo nje ya uwezo wao na sababu kubwa kujilazimishia kushindana na mtu ambaye si levo yake, halafu baadae atasema ooh kuna watu wanatumia pesa zao kwa ajili yangu ili mimi nishindwe kulipia video yangu.
Mseto tv ndo nini? iko nchi gani? hebu Google hapo ulipo utuwekee link tuijue
Linyimbo la ovyo mnoKuachwa kubaya... Jokate kasababisha yote hayo pole wivu usigeuze hasira shemeji