Hii ndio safu ya wahadhiri katika chuo cha "informatics and virtual edcucation" UDOM

Hakuna tofauti na wanafunzi wa A'level maana nao wanafundishwa na walimu wenye degree moja tu.

Kazi ipo!
 
Hakuna tofauti na wanafunzi wa A'level maana nao wanafundishwa na walimu wenye degree moja tu.<br />
<br />
Kazi ipo!
<br />
<br />
duh!!ila udom panakatisha tamaa sana wajamen.
 
Mbona hiyo sawa na xul ya kata hao walimu wanapatikanika hata kihonda Sekondari Pamoja na afisa elimu wao wa wilaya duuh thats y ni chuo cha kata lakini tutafika kwa kuchelewa.
 
Wakuu kuanzia namba 7 hadi 20 kwenye listi hiyo hapo juu wameshamaliza shahada zao za uzamili na wamesubmit dissertation reports zao. Wakati mwingine tuwe tuna fanya utafiti kabla ya kuandika. Napitapita tu wakuu!
 
jamani ma TA wengi kuliko malecturl???huh.................kazi wanayo
 
Wakuu kuanzia namba 7 hadi 20 kwenye listi hiyo hapo juu wameshamaliza shahada zao za uzamili na wamesubmit dissertation reports zao. Wakati mwingine tuwe tuna fanya utafiti kabla ya kuandika. Napitapita tu wakuu!

MSc? Haitoshi!
 
hahaha dr. mvungi hilo jembe sana alikua pale udsm ECSE anafundsha cs 211&212...me mbona sioni tatizo coz after 1 yr hao walioenda kusoma wanarud na masterz zao na elimu inasonga......phd c mchezo wewe unataka wenye phd wangap kwan????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…