Hii ndio siri ya Tattoo ya Wema Sepetu shingoni na inavyookoa watu na hatari mbalimbali

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Watu hujikinga dhidi ya Uchawi kwa njia mbalimbali,kuvaa Rozari,Pete,wengine huchanja chale mwilini maana hata Mungu huitumia njia hii kuchanja aliowachagua kufanya nao kazi

wengine huokoka na kumtegea Yesu au Muhammad

Wengine hutegemea Mungu na tattoo mbalimbali kama Wema

Ajali karibu asilimia 90 hutengenezwa kichawi,vivo Vingi hutengenezwa na Wachawi,kuporomoka kwa nyota Au kimaisha hutengenezwa na Wachawi,

Huwa kama filamu wewe utajua kupitia ndoto utakazoota,ukiota unashambuliwa na wanyama wakali kama simba au kung'atwa na nyoka ujue she she unalo Siku zinazofuata

Sasa Wema huokoa wengi ktk ndoto,pale unaposhambuliwa na wanyama wakali anaweza kujitokeza myama aliemchora Wema shingoni akapambana hadi akashinda kwa kumfukuza mnyama aliekuvmia,hivyo ktk maisha halisi utapitia msukosuko ila hautazulika

Shirika LA Ujasusi la Israel kabla halijafanya tukio kama ilivyotaka kumuua Saddam alipohudhuria mazishi Kusini mwa Iraq wapo waoteshwa ndoto ambao huliona tukio kabla ya kutekelezwa kama watafqnikisha au la maana nguvu hushindana kabla

Hivyo Tattoo. Ya Wema huokoa wengi

 
Mwenyewe kakwambia au unahisi tu?
 
shoga anampa promo shoga mwenzie endeleeni kuuza papa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…