Hii ndio Tanzania, wageni wameanza kuijua

Who told you so? FYI Tanzania has never been dependent on your food, toka nikiwa mdogo nikisafiri barabarani hukosi kuona madumu ya mafuta ya alizeti

Yaani huku mafuta ya alizeti yanakuwa processed in a home level (homemade) na yanauzwa kama nyanya.
Bidco oil has been selling in Tanzania for ages.
 
Jibambe.
 
Wakenya watuletee idadi ya viwanda vya kuzalisha edible oil kutoka kwenye mimea wanayozalisha, kama ni alizeti, chikichi, mbegu za pamba, karanga, mahindi whatever, sio kusema mnazalisha mafuta ya kuuza nje wakati kulima mahindi tu hamuwezi



I see no reason of arguing with a fool. Do your research.
 
Form which plant Bidco Oil is extracted from?, which part of Kenya that plant is grown?
Kwa sasa hivi haya ndio mafuta yanayotumika sana hapa Tanzania,


Yakifuatiwa na haya yanayotengenezwa na viwanda vidogo vidogo mbalimbali,




Baadhi ya mikoa inayoongoza kwa kuwa na viwanda vingi vidogo vidogo vya kuzalisha mafuta ya kupikia ni Manyara, Singida na Dodoma.
 
Unless you want to tell the World that cooking oil can be produced from flowers and tea leaves, because those two crops are the only ones you can produce in large scales[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha ujinga,
Tembea Rift valley especially narok north mau narok area,
Alot of sunflowers iyo area yote hadi Nakuru county molo area
 
Acha ujinga,
Tembea Rift valley especially narok north mau narok area,
Alot of sunflowers iyo area yote hadi Nakuru county molo area
Tuwekee ushahidi kama mnalima Sunflower za kutosha kuzalisha mafuta kulisha Kenya, onyesha mafuta ya Alizeti yanayozalishwa kwa wingi huko Kenya
 
Watatoa wapi zaidi ya kuagiza 75% semi processed oil kutoka Malaysia na Taiwan, yakifika Kenya wanamalizia hiyo 25% wanayaita Bidco oil [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…