Hii ndio tofauti yetu

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
KATIKA MJI MMOJA (DAR ES SALAAM) LENYE SERIKALI MOJA, LENYE WATAALAMU WA MIPANGO MIJI AMBAO WANAKULA MSHAHARA KILA SIKU NA MAPOSHO KIBAO, LAKINI HALI YA MAISHA YA WALE WANAOWATUMIKIA NI KAMA VILE HAWAIONI KABISA NA BALAA LINAZIDI KUONGEZEKA KILA KUKICHA KUTOKANA NA UWEZO WA WATU KIUCHUMI NA ZAIDI NI JITIHADA ZA SERIKALI KUWAKWAMUA WATU WAKE ILI KUONDOKANA NA MAISHA DUNI!!.

.........................................
KUNA watanzania hawa:















KWA DHANA YA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, TUNA MAANISHA WATANZANIA WOTE WANGEKUWA SAWA KAMA WENZAO HAWA:







kwa hisani ya: http://jijiladar.blogspot.com
 
Hii imeniuma zaidi kwa vile kama nyumba ya mwenzio iko juu zaidi ya hichi choo basi mtu alamlamba wife chabo live kabisa akiwa anaoga
 
"Life is not measured by the breaths we take, but by the moments that take our breath away, Keep smiling, it makes people wonder what you're up to."
Mie nimependa zaidi signature yako! Especially when i am very upset, I give my magic smile! halafu mchukuzaji/mkwazaji anajiuliza maswali kibaoooo!
Back to th topic: hata ulaya zipo hizi! Hiyo slogan y amaisha bora ilimtoa hata Madiba enzi anatoka gerezani, akaukwaa urais. LAkini crime, poverty and the like, kwa sana.
 
Mhhh hizo picha za mwanzo zimenikumbusha sana Tanzania.... :frown:
 
Kandoro alianza na bomoa bomoa ilisaidia kidogo baadhi ya maeneo naona wamemuamisha mhhh
 
Mhhh hizo picha za mwanzo zimenikumbusha sana Tanzania.... :frown:

Meneo mengi hali bdo ile ile toka enzi za mkoloni wakati mengine yazidi kuboreka kwa kukosa utartaibu wa mipango miji:























 
Oww man Ngoshwe yani uminikumbusha sana kwetu leo..(feel like crying) ...

Oww Gosh yule jamaa kabeba ndoo zote hizo thats what I call hard worker....
 
Ndio maana vidole vya mikono na miguu vikawa tofauti, Huo ndio ukweli wenyewe
we unadhani wote tungekuwa na uwezo sawa nani angemtumia mwenzie?
unadhani MENGI angeomba kazi kwa BAKHRESA?
MUNGU kampa kila mtu majaaliwa yake.
Ikubali hali yako uendelee na juhudi za kutafuta unafuu vinginevyo utakufa kwa kihoro.!
 
Akili mbovu, watu wabovu, viongozi wabovu, siasa mbovu, miji mibovu makazi mabovu na karibia kila kitu kibovu!
TUJIPANGE UPYA TUREKEBISHE MAMBO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…